Friday, March 1, 2013
MKURUGENZI WA MAENDELEO KANDA YA AFRIKA ATEMBELEA KIWANDA CHA KOFIA NGUMU (HELMET) CHA JESHI LA MAGEREZA UKONGA, JIJINI DAR Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi wa Maendeleo ya Matumizi ya Kofia Ngumu (Helmet) Kanda ya Afrika, Lotte Brondum kabla ya Mkurugenzi huyo kuingia ndani ya Kiwanda cha Magereza kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam kukagua maandalizi mbalimbali ya uanzishwaji wa kiwanda hicho. Kulia ni Mdhibiti wa Shirika la Magereza, John Masunga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment